TAZAMA MAFURIKO YA MH. LOWASA NAMANGA NA ARUMERU MAGHARIBI JANA

Mh. Edward Lowassa akiwa kwenye viwanja vya shule ya msingi Namanga, kwenye mpaka wa Namanga jana Jioni 7/10/2015

Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Mringa, Jimbo la Arumeru Magharibi, Jijini Arusha  jana Oktoba 7, 2015.0 comments: