PICHAZ:KUTANA NA GARI LA RAIS WA RUSSIA, VLADIMIR PUTIN AMBALO HATA UKILIPIGA BOMU HALIUNGUI!

Raisi wa Russia Vladimir Putin ana gari ambalo ni lenye thamani kubwa sana ambayo kwa mujibu wake yeye mwenyewe hajaitaja lakini sifa kubwa ya hii gari unaambiwa haingizi risasi pia ukijaribu kulilipua halilipuki kabisa na iko moja tu Duniani picha hizi hapa tirika nazo hapa chini....

0 comments: