NEWS ALERTS: MSHINDI WA BIG BROTHER, IDRIS KUTUA LEO SAA 12:30 JIONI

MSHINDI wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan anatarajia kutua nchini leo saa 12:30 jioni akitokea Afrika Kusini alipokuwa anashiriki shindano hilo lililomalizika Jumapili iliyopita.

0 comments: