MAJANGA YAIKUBMBA PWANI YA KOREA KUSINI ......FERRY YENYE WATU 460 YAZAMA!!

Walioshuhudia wanasema kulisikika kishindo kikubwa kabla ya ferry hiyo kuanza kuzama zaidi ya kilomita 20 kutoka ufukweni. Oparesheni ya uokozi inaendelea kufuatia ishara za dharura zilizoripotiwa kutoka meli moja iliyobeba takriban abiria 460 katika pwani ya Korea Kusini. 

Shughuli ya uokoaji bado inaendelea.Oparesheni ya uokozi inaendelea kufuatia ishara za dharura zilizoripotiwa kutoka meli moja iliyobeba takriban abiria 460 katika pwani ya Korea Kusini.http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/04/140416_ferry_korea_kusini.shtml

0 comments: