GIGGS ACHUKUA MIKOBA YA MOYES


Kocha wa Man Utd, Ryan Giggs kwa sasa.
Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United, Ryan Giggs, amekabidhiwa kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo!
credit:GPL

0 comments: