BREAKING NEWS,ZAIDI YA WATU 20 WAMEFARIKI HAPO HAPO NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA BASI KUGONGA NYUMBA!

watu 20 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi kugonga nyumba na kupinduka wilaya ya busega mkoani simiyu.
tutawajulisha zaidi muda si mrefu.
source:ITV

0 comments: