PICHAZ...AJALI YA BASI LA JAPANESE ILIYOTOKEA WILAYANI MAKETE HUKO NJOMBE...

Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na tandala wilayani Makete mkoani Njombe, zaidi tazama picha zifuatazo hapa chini.

credit:kandili yetu

0 comments: