HEMED PHD AAMUA KUACHANA NA MICHEPUKO, SASA AANZA MAANDALIZI YA NDOA NA MCHUMBA WAKE. MJUE HAPA

BRAZAMENI mwenye swaga za utozi kwenye soko la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amewataka wanawake wanaommendea kukaa naye mbali kwani tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Muna. 


Hemed Suleiman ‘PHD’.
 Kuonesha msisitizo, Hemed alifunguka:
“Mambo ya ujana nimeyaweka kando, nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza mambo ya ubachela siyo mazuri sana, vidosho viniache.”


0 comments: