HABARI PICHA...HATARI SANA HII..MAPENZI POPOTE BANA..JIONEE KINACHOFANYIKA HAPA...!JAMAA ATAKUA NA HALI GANI HUYU?!!


MMH..SIKU HIZI WABONGO ATI WANADAI WANAFANYA MAMBO KIZUNGU...SO, SIO JAMBO LA AJABU KUONA VITENDO ZAIDI YA HICHO HAPO JUU VINAFANYIKA HADHARANI KWEUPEEEE...
MUHIMU..
KULA BATA ILA KUMBUKA MICHEPUKO SIO DILI..BAKI NJIA KUU...
-via kandili yetu

0 comments: