WAZIRI MWINGINE ALAZWA ,RAIS KIKWETE AMTEMBELEA HOSPITAL


 Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali, Waziri Mkuu wa zamani, Cleopa David Msuya katika hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi Zanzibar, Haruna Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo, Jan 15, 2014


0 comments: