HII IMETOKEA MCHANA HUU ENEO LA MANZESE DARAJANI JIJINI DAR!!!


AJALI hii imetokea mchana huu eneo la Manzese Darajani jirani na kituo cha Polisi Manzese jijini Dar es Salaam baada ya dereva wa daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T 295 AFC kumkwangua mwenzake mwenye Toyota Mark II.

(PICHA NA MDAU WA GPL, MANZESE)

0 comments: