CHRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA FIFA BALLON D'OR 2013


Christiano Ronaldo.
MCHEZAJI wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Christiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2013 (Ballon d'O 2013) usiku huu jijini Zurich, Switzerland na kuwabwaga wenzake Lionel Messi na Frank Ribery.

0 comments: