BREAKING NEWS.....MWANDISHI ANNE WAITHERA WA BBC AFARIKI DUNIA!!
Mwandishi Anne Waithera enzi za uhai wake.
MWANDISHI wa BBC kutoka nchini Kenya, Anne Waithera amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu akisumbuliwa na maradhi ya saratani. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!

0 comments: